UMRI : Ana miaka kumi na sita
KIWANGO : Ako seco form three
MTAA : Anakaa kwa ghetto moja karibu na tao.
TABIA : Anajiamini, anajitegemea na anatia bidii kulea bro wake mdogo vile anaweza.
MAMBO MENGINE: Maria ni manzi wa ghetto lakini ukimcheki huwezi mesea Anajua kung'ara na kutumia chapaa poa hata kama ni kidogo. Ana mipango za nguvu za baadaye na ako willing kutia bidii ndio atoboe. .hana mpango yoyote ya kupush na chux lakini ni kama chux hanyiti. kama wale maboys wengine ndani ya ghetto, chux anaona ni kama Mariakim anafaa kutumia usupu kupenya lakini mariakim haduingi vitu hivyo.


