UMRI : Miaka kumi na nne
KIWANGO : Ako class eight
MTAA : anaishi sides za coast
TABIA : Yeye sio msoftie, ni survivor na hastuliwangi. Anajitegemea , ana vako zake za kufanya vitu ambazo saa zingine hazibabambangi wasee. Yeye hu dye nywele ku show yuko tofauti.
MAMBO MENGINE: Buda ya malkia waliachana na mathake ka bado yeye mdogo. Anaishi na mathake ambaye hushinda akitry kupenya world ya bizna..lakini yeye hutumia ma-back door. .Yeye huwanga ameshikana mpaka hananga time ya kufikiria juu ya Malkia na hiyo story hum bore sana. Anapanga kuwa mse wa media akiwa m-big.


