You are here: Home Charlie Pele Charlie Pele

Shujaaz FM

About Charlie Pele

E-mail Print PDF

UMRI 14

KIWANGO Class 5

MTAA :   Huko Rift Valley

TABIA :   Anapenda football kushinda kila kitu.  Anapenda kucheza na ku crack majokes. He dreams of playing for  Harambee Stars siku moja.

MAMBO MENGINE: Family yake ilibumburushwa kwao after elections sasa wamerudi na wanajaribu kusettle. charlie ndio mdogo kwao na mabro wake hawana janta. Budake hushinda amezusha na kublame majirani juu ya kila kitu na hiyo huleta mezesh.  Charlie akikuwa na idea poa za kumake chapaa mmoja wa mabro zake huiiba na anaitumia kuanzisha job. Siku moja, Charlie ataweza ku save chapaa aweze ku buy boots za futa.

Last Updated ( Saturday, 29 May 2010 14:47 )