You are here: Home Boyie About Boyie

Shujaaz FM

About Boyie

E-mail Print PDF

UMRI Miaka kumi na tisa

KIWANGO Alimada form four 2009

MTAA Kilomita kumi kutoka jiji

TABIA Ni mnoma kwa  ku-fix vitu za stima. Ana nia, bidii na mpango wa kujijenga.

MAMBO MENGINE: Amekuwa aki repair maredio na ma TV za majirani kutoka kitambo. Tangu form 1 amekuwa akijenga redio station ya underground kwa keja yake na ana iita shujaaz fm- juu ni ya ma-youth heroes. Ili askike, hiyo ubidi apenye kwa ma-redio station zingine kwa hivyo skiza ile radio station unapenda na unaweza mskia.

Last Updated ( Saturday, 29 May 2010 14:47 )